Viwanja vya kampuni

Viwanja vipo golani kijaka km 35 kutoka ferry, Km 19 kutoka mji mwema, Km 15 kutoka Dege project na Km 9 kutoka barabara kuu Bei ni Tsh.13,000/= eneo la makazi na bishara kwa mita mraba moja
Tsh.11,000/= eneo la makzi pekee kwa mita mraba moja
Vipimo:-
  • Ujazo mkubwa kuliko (Super low density) 1201 - 2000 Mita za mraba.
  • Ujazo mkubwa (Low desity) 801 - 1200 Mita za mraba.
  • Ujazo wa chini (High density) 301 - 600 Mita za mraba.
Viwanja vipo Kerege mataa wa amani Km 3.5 kutoka barabara kuu, Km 3 kutoka baharini bei ni Tsh.15,000/= eneo la makazi pekee kwa mita za mraba.
Viwanja vipo bagamoyo fukayosi km 28 kutoka round about ya bagamoyo, mita 800 kutoka barabara kuu bei ni Tsh.5,000/= eneo la makazi pekee kwa mita za mraba.
Mradi upo kilomita 5 mbele ya Dar es salaam zoo karibu na kiwanda cha saruji cha nyati, barabara inafika mpaka eneo la mradi, pia eneo lina mchanga wakutosha na maji kwa shughuli za ujenzi, Umeme upo mita 500 kutoka kwenye eneo la maradi.
Viwanja vipo kata ya Kimbiji mtaa wa Ngobanya kilomita 36 kutoka feri, kilomita 6 kutoka AVIC, kilomita 5 kutoka Baharini. Bei ya eneo: Bei ni Elfu nane tu!(Tsh. 8,000) kwa mita mraba 1.
Viwanja vipo kigamboni kata ya kimbiji mtaa wa changani kilomita 26 kutoka feri, kilomita 3 kutoka barabara kuu, bei ya eneo ni Tshl. 7,000/= kwa mita mraba moja.
Viwanja vipo Bagamoyo, fukayosi (center) kilomita 28 kutoka mzunguko (keep left) ya bagamoyo, mita 800 kutoka barabara kuu, bei ya eneo ni Tshl. 5,000/= kwa mita mraba moja upande wa kushoto.
Viwanja vipo Bagamoyo, kerege kilomita 3.5 kutoka barabara kuu, upande wa kulia. kuna maji na makazi ya watu, umeme upo kilomita mbili kutoka mradi ulipo bei ya eneo ni Tshl. 13,000/= kwa mita mraba moja. Viwanja vina hati