Mashamba ya kampuni

Mashamba yapo bagamoyo fukayosi Km 15 kutoka barabara kuu Bei ni Tsh.1,500,000/= kwa hekari..
Mashamba yapo kilomita 7 kutoka kituo kikuu cha Bungu (center), mashamba mazuri kwa shughuli za kilimo, maji yakutosha yanapatikana,Bei ya shamba ni laki nne (400,000) Malipo kwa mkopo ni kwamuda wa miezi nane
Mashamba yapo bagamoyo fukayosi kijiji cha Lusako, Umbali kutoka kituo cha fukayosi (center) barabara ya msata mpaka mashambani ni kilomita tatu (3) na bei yake ni shilingi Millioni mbili na laki tano tu (2,500,000) kwa hekari, Malipo kwa mkopo ni kwamuda wa miezi nane.
Mradi upo katika wilaya ya Bagamoyo, Kijiji cha Fukayosi kitongoji cha lusako, Mradi huu umepakana na miradi mbalimbali mikubwa kama:-
  • Kiwanda cha juisi
  • Ranchi ya ufungaji
  • Kiwanda cha maziwa
  • klabu ya michezo (Sport Academy )
Eneo hili lipo katika miradi mbalimbali ya huduma za kijamii, kama Barabara kubwa ambayo ipo katika matengenezo fukayosi(msata) mpaka vigwaza karibu na morogoro road, Mradi wa umeme unaotarajiwa kuanza hivi karibu.
Bei ya shamba: Bei ya shamba ni Millioni moja tu! (Tsh. 1,000,000) kwa hekari moja, Na malipo hufanyika kwa;
  • Fedha taslimu
  • Mkopo bila riba
Mashamba yapo bagamoyo fukayosi kitongoji cha lusako, Tumepakana na mwekezaji wa kiwanda cha maziwa na juice.
Bei ya eneo: Bei ya shamba ni Millioni moja tu! (Tsh. 1,000,000) kwa hekari moja, na utaanza kwa malipo ya asilimia thelathini(30%) kisha asilimia kumi (10%), kwa miezi saba inayofuata na 20,000 ya mkataba na 55,000 ya bikoni