VKP Investment for youth

Wauzaji na wapimaji wa mashamba na viwanja.

UUZAJI

kampuni inajishughulisha na uuzaji wa mashamba,viwanja,na vitu vingine, miradi ya kampuni hii inamilikiwa na kampuni yenyewe.

UPIMAJI

kampuni inafanya upimaji wa viwanja na mashamba kwa kutumia wataalamu wake wa ndani na kushirikiana na halmashauri/manispaa husika.Upimaji huu unaweza kufanywa kwa miradi binafsi, taasisi, kampuni nk.

UKODISHAJI

katika mradi huu kampuni inakukodisha ardhi ambayo ni mali ya kampuni.

 • Bofya

  hapa

  wateja kutoka TABATHA
 • Bofya

  hapa

  wateja kutoka TTCL
 • Bofya

  hapa

  wateja kutoka NMB
 • Bofya

  hapa

  wateja kutoka MOROGORO
 • Bofya

  hapa

  wateja kutoka MBAGALA
 • Bofya

  hapa

  wateja kutoka UBUNGO
 • Bofya

  hapa

  wateja kutoka TEGETA

Miradi ya Upimaji Viwanja na Mashamba

Kwa maelezo zaidi juu ya upimaji wa viwanja na mashamba
tafadhari piga simu namba

(+255) 0712-564-544

Kwanini uchangue VKP ?

VKP INVESTMENT FOR YOUTH

Imeona umuhimu wa kuhudumia watu wote kutokana na uhitaji hivyo imeongeza miradi ifuatayo

Wateja wetu wanasemaje

 • 70%
  Huduma nzuri kwa kila mteja
 • 80%
  Uhuru wa mteja kuchagua eneo
 • 90%
  Mikopo nafuu
 • 80%
  Usimamizi mzuri wa mikataba

Jiunge nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook VKP investment for youth.

kwa kubofya kitufe hiki.