Miradi mingine ya kampuni

Mradi huu unahusu ufugaji na unafanyika Rufiji bungu ukihusisha mazao mbalimbali kama
  • Ng'ombe wa maziwa
  • Kuku
  • Nguruwe
  • Mbuzi
  • Samaki
  • N.k
  • -> Mradi wa nyumba za kuishi(Kigamboni)
  • -> Mradi wa duka la dawa na Mradi wa mgahawa