Miradi ya kampuni

Viwanja vipo golani kijaka km 35 kutoka ferry, Km 19 kutoka mji mwema, Km 15 kutoka Dege project na Km 9 kutoka barabara kuu Bei ni Tsh.13,000/= eneo la makazi na bishara kwa mita mraba moja
Tsh.11,000/= eneo la makzi pekee kwa mita mraba moja
Vipimo:-
  • Ujazo mkubwa kuliko (Super low density) 1201 - 2000 Mita za mraba.
  • Ujazo mkubwa (Low desity) 801 - 1200 Mita za mraba.
  • Ujazo wa chini (High density) 301 - 600 Mita za mraba.
Viwanja vipo Kerege mataa wa amani Km 3.5 kutoka barabara kuu, Km 3 kutoka baharini bei ni Tsh.15,000/= eneo la makazi pekee kwa mita za mraba.
Viwanja vipo bagamoyo fukayosi km 28 kutoka round about ya bagamoyo, mita 800 kutoka barabara kuu bei ni Tsh.5,000/= eneo la makazi pekee kwa mita za mraba.
Mashamba yapo kilomita 7 kutoka kituo kikuu cha Bungu (center), mashamba mazuri kwa shughuli za kilimo, maji yakutosha yanapatikana, Bei ya shamba ni laki nne (400,000) Malipo kwa mkopo ni kwamuda wa miezi nane
Mradi upo kilomita 5 mbele ya Dar es salaam zoo karibu na kiwanda cha saruji cha nyati, barabara inafika mpaka eneo la mradi, pia eneo lina mchanga wakutosha na maji kwa shughuli za ujenzi, Umeme upo mita 500 kutoka kwenye eneo la maradi.
Mradi upo katika wilaya ya Bagamoyo, Kijiji cha Fukayosi kitongoji cha lusako, Mradi huu umepakana na miradi mbalimbali mikubwa kama:-
  • Kiwanda cha juisi
  • Ranchi ya ufungaji
  • Kiwanda cha maziwa
  • klabu ya michezo (Sport Academy )
Eneo hili lipo katika miradi mbalimbali ya huduma za kijamii, kama Barabara kubwa ambayo ipo katika matengenezo fukayosi(msata) mpaka vigwaza karibu na morogoro road, Mradi wa umeme unaotarajiwa kuanza hivi karibu.
Bei ya shamba: Bei ya shamba ni Millioni moja tu! (Tsh. 1,000,000) kwa hekari moja, Na malipo hufanyika kwa;
  • Fedha taslimu
  • Mkopo bila riba
Mashamba yapo bagamoyo fukayosi kitongoji cha lusako, Tumepakana na mwekezaji wa kiwanda cha maziwa na juice.
Bei ya eneo: Bei ya shamba ni Millioni moja tu! (Tsh. 1,000,000) kwa hekari moja, na utaanza kwa malipo ya asilimia thelathini(30%) kisha asilimia kumi (10%), kwa miezi saba inayofuata na 20,000 ya mkataba na 55,000 ya bikoni
Bei ya eneo: Bei ni Elfu sita tu!(Tsh. 6,000) kwa mita mraba 1, Malipo kwa mkopo wa miezi nane (8) Kuanzia mita za mraba 380 = 2,280,000.
Viwanja vipo kata ya Kimbiji mtaa wa Ngobanya kilomita 36 kutoka feri, kilomita 6 kutoka AVIC, kilomita 5 kutoka Baharini. Bei ya eneo: Bei ni Elfu nane tu!(Tsh. 8,000) kwa mita mraba 1,
Viwanja vipo Kigamboni kata ya kimbiji mtaa wa changani kilomita 26 kutoka feri, kilomita 3 kutoka barabara kuu, bei ya eneo ni Tshl. 7,000/= kwa mita mraba moja
Viwanja vipo Bagamoyo, fukayosi (center) kilomita 28 kutoka mzunguko (keep left) ya bagamoyo, mita 800 kutoka barabara kuu, bei ya eneo ni Tshl. 5,000/= kwa mita mraba moja upande wa kushoto.
Viwanja vipo Bagamoyo, kerege kilomita 3.5 kutoka barabara kuu, upande wa kulia. kuna maji na makazi ya watu, umeme upo kilomita mbili kutoka mradi ulipo bei ya eneo ni Tshl. 13,000/= kwa mita mraba moja. Viwanja vina hati