Wateja wetu

Wateja wa miradi yetu ni watu binafsi, vikundi, taasisi mbalimbali,kampuni nk,hata hivyo kampuni inazingatia uridhishwaji wa wateja katika kila huduma tunayotoa . Hii ni kwasababu tunatambua mchango wa kila aina ya mteja katika kampuni yetu.

about author

Julius Yona

Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya

VKP INVESTMENT FOR YOUTH