VKP Investment for youth

Wauzaji na wapimaji wa mashamba na viwanja.

UUZAJI NA UKOPESHAJI WA MASHAMBA NA VIWANJA

Kampuni inauza na kukopesha mashamba kwa mkopo usio na riba wala dhamana kwa muda wa miezi 18(mwaka 1 na nusu).Miradi yote ya mashamba na viwanja inamilikiwa na kampuni, ikizingatia taratibu zote za halmashauri ya mradi husika pamoja na huduma zote za kijamii kama vile maji,umeme,shule, barabara na hospitali.

UPIMAJI

kampuni inafanya upimaji wa viwanja na mashamba kwa kutumia wataalamu wake wa ndani na kushirikiana na halmashauri/manispaa husika.Upimaji huu unaweza kufanywa kwa miradi binafsi, taasisi, kampuni nk.

UJENZI

VKP INVESTMENT FOR YOUTH inatoa huduma ya ujenzi kwa mkopo wenye riba nafuu, kwa wateja wanaonunua maeneo kutoka kwetu na kwa wateja wenye maeneo yao binafsi. Kupitia huduma hii mteja anaweza kujengewa na kuhamia katika nyumba yake huku akiendelea na malipo taratibu.

 • Bofya

  hapa

  Wateja wakiangalia Miradi Yetu
 • Bofya

  hapa

  Baadhi ya Miradi Yetu
 • Bofya

  hapa

  Wateja wakiangalia Miradi Yetu
 • Bofya

  hapa

  Baadhi ya Miradi Yetu
 • Bofya

  hapa

  Baadhi ya Miradi Yetu
 • Bofya

  hapa

  Wateja wakiangalia Miradi Yetu
 • Bofya

  hapa

  Baadhi ya Miradi Yetu

Miradi ya Upimaji Viwanja na Mashamba

Kwa maelezo zaidi juu ya upimaji wa viwanja na mashamba
tafadhari piga simu namba

(+255) 0712-564-544

VKP Investment for youth

Kuhusu VKP Investment For Youth.


VKP INVESTMENT FOR YOUTH ni kampuni ya REAL ESTATE iliyosajiliwa chini ya sharia za kampuni Tanzania yenye makao makuu yake Jijini Dar es Salaam na tawi lake lililopo Jijini Arusha. Taasisi hii ilianzishwa mnamo mwezi January, 2016 chini ya MKURUGENZI MKUU BW. YONA JULIUS KITTA, dhumuni kubwa likiwa ni kuwapa fursa hasa vijana kumiliki ardhi lakini pia kutoa fursa kwa wananchi wenye kipato cha chini kuweza kumiliki ardhi kwa mkopo usio na riba wala dhamana. Mfumo wa malipo ni miezi 18 ambapo awamu ya kwanza mteja atalipia 15% na miezi 17 iliyobaki mteja atalipia 5% kila mwezi.
Hata hivyo kampuni ya VKP INVESTMENT FOR YOUTH inatoa huduma za kuuza na kukopesha ardhi, kukopesha huduma ya ujenzi na upimaji wa ardhi kwa wateja wote wanaolipa fedha taslim na wale wanaokopa. Pia tunatoa elimu ya ardhi hasa katika maswala ya umiliki na upimaji ili kila mwanajamii aweze kutambua haki zake za msingi kuhusu umiliki wa ardhi.
VKP INVESTMENT FOR YOUTH imefanikiwa kuhudumia wateja wengi huku ikizingatia kuwa miradi yote inayouzwa au kukopeshwa ipo chini ya sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuhakikisha miradi yote inakibali kutoka manispaa husika na haina mgogoro wa aina yoyote. Hivyo basi mteja anaweza kumiliki ukubwa wowote wa ardhi kulingana na mahitaji yake iwe kwa viwanja au mashamba na tunazingatia uwepo wa huduma za msingi za kijamii kama vile umeme, maji, shule, hospitali, na barabara.


Kwanini uchangue VKP ?

VKP INVESTMENT FOR YOUTH

Imeona umuhimu wa kuhudumia watu wote kutokana na uhitaji hivyo imeongeza miradi ifuatayo

Wateja wetu wanasemaje

 • 70%
  Huduma nzuri kwa kila mteja
 • 80%
  Uhuru wa mteja kuchagua eneo
 • 90%
  Mikopo nafuu
 • 80%
  Usimamizi mzuri wa mikataba

Jiunge nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook VKP investment for youth.

kwa kubofya kitufe hiki.